Register Your Vote and Voice
Join the Maara 2027 Movement
Ushindi na mabadiliko ya Maara Constituency yanaanza na hatua yako. Jisajili sasa upokee taarifa za moja kwa moja kupitia SMS kutoka kwa Hon. Nevert Ntwiga.
Fomu ya Usajili wa Mfuasi / Resident
Your information will be protected under Kenya's Data Protection Act 2019 and will not be shared with other people.
Kwa Nini Kujiunga Nasi?
-
Ujumbe wa Moja kwa Moja:Pokea arifa za tarehe za mikutano ya hadhara na miradi ya CDF bila kupitwa.
-
Kushiriki Katika Ajenda:Toa maoni yako kuhusu vipaumbele vya barabara, maji na shule katika wadi yako.
-
Kufuatilia Bursaries:Pata mwongozo kamili wa jinsi ya kuomba na kufuatilia CDF Bursaries kidijitali.
-
Fursa za Kujitolea:Pata nafasi ya kuwa kiongozi au wakala wa kituo cha kura (polling agent).
Hon. Nevert Ntwiga
Kiongozi Mchapakazi"Maara inahitaji kiongozi anayewajibika kwa wananchi, anayesimamia haki ya mkulima na mtoto wa masikini bila ubaguzi. Asante kwa kuwa sehemu ya historia hii."